Friday, September 28, 2012

TOUCH OF THE HEART!! HENRY SELEMANI TO RHODA MWALIMU @ MATONGEE, ARUSHA

Wahenga walisema ...UKITAKA KUJUA UHONDO WA NGOMA, INGIA UCHEZE...Maneno haya yalitua kichwani kwa Mtanashati Henry Selemani na kuangalia kila kona ya nchi hii ili kumpata wa ubani wake atayecheza naye ngoma ya maisha ya ndoa. Macho na hisia zake zikatua kwa mrembo wa haja Bi Rhoda Patrick Mwalimu. Bila kupepesa macho, Henry akatamka maneno mazuuuuri kwake Rhoda...in sicknes and in health...for better, for worse...paleee Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania-Arusha Mjini. Kwa tabasaaam la ukweli Rhoda hakusita kusema kwa sauti yake taaam kabisaaaa.....Yes Ido! Vigelegele, nderemo na vifijo vikafuata hapoooo...Hulahlalaaaah. Mambo yakasogea na kuishia katika ukumbi maarufu pale Arusha- Matongee-. Show nzima ikisimamiwa na McChzenga. Kwa roho saaaafi, songa nasi apo kwa muhtaaasari tuu wa mambo ilivokua.
 
Colour; Red & Gold
 
Bw Henry Selemani akilishana Keki na Mkewe Bi Rhoda Mwalimu hapo Matongee, Arusha- Tanzania


Wdau wakiwashudia maharusi wakilishana keki


Mmmmmmwaaaaah! I love you!


Wadau katika poz!!
 
Henry, Mkewe Rhoda na mabest friends


Wednesday, September 26, 2012

MAAMBO SAWASAWA!!! DEODORUS TABARO TO JANETH SWAI @ NEW UKONGA SOCIAL HALL....HAPO SAAASA!

Ilikua ni nderemo, vifijo na hoihoi pale Mtanashati Deodorus Tabaro Kashaija alipodhamiria na hatimaye kuvunja ukimya, alipotamka kwa lugha laiiini na moyo mkunjufu kabisaaa "YES I DO". Hapo masikio ya Bi Janeth Swai yakaburudiiika na pumzi zake zikashuka, zikifuatiwa na tabasam la kutosha...before even she knew it, akawa rasmi MRS JANETH DEODORUS TABARO KASHAIJA!! Ndugu, jamaa na marafiki hawakusita kumiminika kutoka pembe nne za dunia na hasa kule Rubya, Muleba na kule Tarakea Rombo...chezeiyaa!!
Hapa twakupa uhondo kidogo tu wa shughuli hii iliyoanzia pale Kanisa la Mwenyeheri Anuarite-RC, Makuburi jijini Dar es Salaam na kufuatiwa na sherehe ya haja pale New Ukonga Social Hall.

Colour: Gold na Red

Tiririka

Mr & Mrs Deodorus Tabaro Kashaija

Bw Sixbert na mkewe Lilian; Wasimamizi wa ndoa

Maids...walipendezaaaje!! Kikorombwezo cha shingo apooo
Tokelezeiyaa!
Mh Mwenyekiti: Karibuni sana wageni wetu!!
Mambo ya keki
What a cake!!
Tukate sasaaaaaa...
Wasimamizi; Sixbert na mkewe Lilian wakilishana keki
Tuwape wazazi pia


Asante wakwe zangu
Asante wakwe zangu
Asante sana wanakamati
Sisi ndo sisiiiii
Bw. Mwombeki na kampani yake kutoka UDSM

Wadau apooo
Twende tukafungue muzik Mahboubah!!...
Geuka hiviii
Sikiliza...kwanza tujifunike!

This is now our world, Just the two of us; Hawatuoni haoo
Daima mileleeeee..Utakua wanguuuu...maisha yangu yoooteee......!!

Ngoja na sie Tukumbushie banaaaa...
Kidekuneeeee!!

Bi arusi apo na mdogo ake!
 
Mshikemshike tuuu!!
















Kwaito Time apo na Mdau!
Kitu cha Blak and red!! Sio Lazima kuvaa full wedding colour
 
Nani anabisha apooo!!

Mambo vipiiii!!




Wasalimie wageni basi Swty!!
 
Habari Zenyu banaaaa..
 
Jamani huyu ndie wangu wa milele..
 
Nakupenda tuuu
 

Halooooo!
Za Chihayaaaa!

Raha ya Rugema banaaa...uvue viatu aseee...
 
Na Mdau akitoa za Chihaya!!
Wachagga banaaa...apo wanaogopa kuibiana eti!! wee

Kumbe hadi tushikane mikono eee...

Kama vipi...Jiachie tuuu...ntakudaka banaaa

Na Ze totoz

Eti sahani mbili!! Hii ni moja tu ina pande mbili; upande wangu na wa My Swtytoooo...Mtajiju

Menyu time banaaa
 
Ngoja nikuwekee na matunda kidogo My baby!!
The Spices!! lovely!
Tule vizuri...
 
Baba; Mzee Tabaro Kashaija akitoa nasaha

Zawadi: Ukivaa hii, kesho unaanza na Shumalam Waitu!

Mama Tabaro akimvisha mkwe wake kitenge

Rubyaaaa...kufata zawadi apo
Nasaha kutoka kwa wakwe



Na zawadi ya Biblia
 



Apo Jeee

Thank u!
 
Uyu Bw Harusi sisi Tumesoma naye UDSM

Tumpe zawadi kwa style ya peke ake!!

Baba na Mama Lilian; Kaka Mkubwa wa Bw Harusi

Na maids

Ze Klos ap!

Ze Kamati

Kwaheriniiiiiii!