Monday, August 13, 2012

Bride?? Great looks!!

Wajua ndoto ya kuolewa na kua na familia imekua kwa binti tangu anachezea vifuu? Yaani tangu akiwa binti mdogo kabisa anakua anatamani sana siku yake ya harusi, pengine kuliko hata maisha yenyewe ya ndoa (hahahaaaa...joke). Halafu ambacho wengi hatujui ni kwamba, waweza kucheza na chochote lakini sio gauni lake la harusi (shela!!) acha kabisaa. Leo hapa, utaona mavazi tofauti tofauti ya mavazi ya bi arusi, ya kisasa....hii ni vyanzo tofauti vya wataalamu wa mavazi...tiririkaaa

Kama anapaa eee!

Hapo jee?

Afu wakata keki na mkono kwa kiuno!!


Wache weee!!

Wow!!

Ngoja ntoke sasa

Na mkia wakee>>.

Like flowers!

Lovely!!

Nishike mkonooo...nioneshe kweli tunapendana eee...

Sooo simple!!

Kwa nini nsifurahi mieee...

Chek na kiatu sasa weee!!

Wewe ndio zeze langu!!

Ngoja nifanye na zoezi la kutembea kabisaaa...

Kwa nyuma apoo..

Kochi loooote langu apa...

I am really beautiful!! Let me walk majestically!

1 comment:

rebecca said...

This is really amazing!! So lovely