This Page presents different pictures of the brides and grooms in which McNdimbo mastered their wedding ceremonies
BORDEN & LULU
|
Borden na mkewe Lulu wakiwa na furaha |
|
|
|
|
|
|
Harusi yao ilifana kweli kweli. Ilifanyika kanisa la Kianglikana pale Kawe. Ikafuatiwa na photoshooting apo Kawe Klab beach na baadaye tukaserebuka ka ladha za kingoni na kihehe pale Twiga Hall Sunset. Hii ilikua tarehe 16/07/ 2011
ALPHA & BERTHA
|
Alpha akiwa amembeba mkewe Bertha apo beach. |
Harusi hii ilifanyika katika ukumbi wa New Mawella Hall. Raha ya Kingoni na kipogoro ndo ikadhihirika kwa raha zoooote. Hapa ilikua ni tarehe 26/ April/ 2012
No comments:
Post a Comment