Tuesday, November 6, 2012

DID YOU HEAR THIS!! Prosper Mgodomi weds Happiness Masatu @ Mesuma Executive...

Shamrashamra zilianzia paleeee Roman Catholic Sinza. Waluguru wakaimba na kucheza. Wakwe na ile mambo ya '..ndolelaaaa, ndolela maama...' Wacha we! Kijana Mtanashati wa haja Bw Prosper Mgodomi akanyoosha kidole chake cha mkono wa kushoto na bila ajizi Bi Hapiness Masatu akafunguka kumoyo " For Better , For worse.." huku akimvisha kijana pete yenye mchombezo wa gold safi. Haikua taabu, vifijo na nderemo vikasikika kila kona hapo. Kama vile haitoshi...msafara ukasonga kuelekea Mesuma Executive pale Kijitonyama, Dar es salaam Tanzania. Hotel yenye hadhi na ukumbi safi. Shughuli ikaanza apo. Nyuma ya mashine akiwapo Dj Gaucho na kati kama kawaida. Kila wakati ni kuwashika tu kwa kua Mshike mshike ndio jadi yetu. Chezea sisi wewe! Wakitanguliwa na maids na Groom's men waliopendeza kwa rangi ya harusi. Mambo ikawa really Burudaaaaani! Songa nasi hapa.

Colour: Purple na Silver

Bw Prosper Mgodomi akiwa na mkewe Happiness na wapambe wao
Decor's

Mjikeki

Table set up

Wakwe wakikaribishwa na wazazi

Ze TotozMaids na Groom's men

Wasimamizi wakiingia

At last! Mr & Mrs Prosper!!

Kwa raha zao

Walikaribishwa kwa shamrashamra

Kama Twinz eee

Na Tuombeee

Wow!

Ze Kamati

Ze Chairperson!

Karibuni sana

Mdau na champaigne


Dushelele...

My baby!

Kunywa mvulana wangu!

Na sie Tukumbushiege heheheiyaaa

Keki Tym!

Tuikaaate....

lisha nikulishee, ndio ishara ya upendo eee

Kwa wazazi..

Apo lazima nibonyeeee...

Keki na moto!!

Thank you so much Mwenyekiti na ze kamati...Sisi ndo sisiiiii......

Mshikemshike

Na nitambulishe kiumeeeni...kwa wanaume

Wazazi

Full kiluguru apo...


Nami nawatambulisha wa kwetu aseee...

Wakwe

Ze dadaz


Maids na totoz

Tukale sasa

Tumetokelezeiya!

Hapo Je? Kwaito iyo ohooooh!

Jerusalem Vibrant Brothers wakiwakilisha

Kijana Aloyce akiwa na Mahboubah wake kwa poooz! that smile!

Nasaha za wazazi

Prosper & Happiness wakisikiliza kwa makiiini

Neno kutoka kwa wakwe

Sasa tusubiri zawadi zetu

Zawadi ya wazazi

Kutoka Morogoro

Wazazi

Zawadi za dadaz

Prisca, mdogo wa Bw Harusi

Akipongezwa na mashosti kwa style ya chop my money

Na wakwe

Ze Mgodomi

In Blak & White

Mshikemshike
McGrace, dada wa Bw Harusi akijiachia hapo
No comments: