Thursday, September 25, 2014

The Dual Wedding for Massawe's sons; Anthony to Elizabeth and Priscus to Noela @ Kiramuu Hall

This was another experience!! Mtu na mdogo wake wakaamua kufanya harusi pamoja...Anthony Jacob Massawe akamuoa Bi Elizabeth na Priscus Jacob Massawe akamuoa Bi Noela. Haikua shida kusababisha tabasam hizo zisikauke mwanzo mpaka mwisho wa umati ule pale Kiramuu Hall. Nyuma ya mashine yupo one of the best Djs in town, DJ Ndende-Respect DJs (www.shereheyetu.com) na mdau wenu na sauti ya biashara...ilikua ni hataaaare!!
 
Songa nasi kwa picha kutoka kwa Godfrey Makuli, alifanya na video pia - 0715301133

 

 

 


No comments: