Tuesday, October 23, 2012

Ni Rrrrrhaaaah! Jonathani Byeitima Weds Nora Mganga @ Mikocheni Resort...

Ni pazuriiii...uku wanyama wa kuchonga na pale maji yanamwagika kiufundi kabisa. Yaani wajiskia kweeeli upo eneo la kifahari. Panaitwa MRC - Mikocheni Resort Centre...Bw Jonathan na Bi Nora wakajimwayamwaya kwa furaaaha baada ya Kufunga ndoa takatifu. Wakiwa wamependezeshwa na rangi safi za upendo...kitu cha Red na Black. Shughuli ilikua na wadau wa kutosha kama mia 5 na hamsa! Ni kula, kunywa na burudani,,,,,Full kinyambo apo..Chezea Karagwe wewe!
Haikua taabu saana wadau kujua hapo wamekuja kusababisha tabasamu la maharusi mwanzo-mwisho! Wadau kutoka kila kona ya jiji na wengine kutoka huko huko Karagwe wakatia timu. Tukaanza na Uhondo wa Kwaito...mara Chop my Money halafu baadaye Maharusi wakaja na uhomdo wa FOREVER kutoka kwa P-Square....I will take you under world to the place you have never been before..foreever!! I like it..I really really like it!!...
Wee...Utamu mpaka bhaaaasi! Songesha nasi hapa japo kwa kuonja...

Colour; Black & Red

Decor's

Ze wanyamaz

Seating plan

MRC

Wow

Mambo ya Mila za KinyamboZe Totoz

Ze maids & Groom's men

Wasimamiz; Bw Mtume na mkewe Bi Leticia

Maharusi

Apo Jee

Mwenyekiti akitambulisha Wanakamati

Ze Kamati

Mtanashati Jonathani na Mkewe Nora na Wapambe; Mtume na Leticia wakiwa kwa poz

UtambulishoMjikeki

LISHA NIKULISHEEEZe wazazi

No comments: