Tuesday, August 7, 2012

Send off Ya Bi Florida Lulandala-Hill Park, UDSM!!

Raha ya kuishi na wazazi ni kulelewa na kukua huku ukijituma na kujiweka katika mazingira ya kuja kulea familia yako pia. Maadili mema na kumcha Mungu hukuwezesha kutupiwa mimacho na wale watakao mke mwema. Hii hukupa wasaa mzuri wa kujichagulia mwenzi wako wa maisha kwa pooozi na hivyo kukuwezesha kutabasaamu hata siku yako ya kuagwa (Send off). Haya ndio yalimfanya Bi Florida Lulandala kuwa na furaha wakati wote wa shughuli yake ilofanyika katika ukumbi wa Hill Park pale Chuo Kikuu Cha D'salaam. McNdimbo akiwa nyuma ya kipaza sauti kuleta ule 'Mshikemshike' wa burudani pevu.....tiririka nasi kidogo apa...

 
Florida na Mpambe wake wakiingia Ukumbini

Taabasaam...nipate furahaaa...

Pendeza weweee....

Mh Mwenyekiti akikaribisha wageni...

Mjikeki.....
Jisevie mamaaaa..Kwetu Pazuriiiii....
Na kwa wakweee....

Uko waaapi nikufateee.....

My Swtyto.....

Jerusalem Vibrant Brothers wakiwajibika...My Bro, Mussa Lulandala Na My Wiii, mkeo;Thank you so much!!

No comments: