Wednesday, June 27, 2012

WEDDING GIFTS; WATOA NINI? UNATOAGA?


Chocolate Hearts Gift Box with Moet Chandon
Kitu cha champaigne for honeymoon

A wedding is the ceremony in which two people are united in marriage or a similar institution. Wedding traditions and customs vary greatly between culture, ethnic groups, religions, countries, and social classes. Most wedding ceremonies involve an exchange of wedding vows by the couple, presentation of a gift (offering, ring(s), symbolic item, flowers, money), and a public proclamation of marriage by an authority figure or leader. Special wedding garments are often worn, and the ceremony is sometimes followed by a wedding reception Music, poetry, prayers or readings from religious texts. or literature are also commonly incorporated into the ceremony.



Here, my concern is on the point of exchanging gifts. There are a lot of challenges on what gifts to give and sometimes whom the gift should be given in the wedding ceremony. Mambo ya zawadi yamegawanyika saaana depending on the traditions and customs za watu. Where as, in most cases wedding gifts are expected to be given to the brides and grooms, there are also other people to be considered. Wajua kuna wazazi, walezi, maids, wanakamati wa shughuli na pengine hata marafiki wa karibu saaana wa maharusi.

The question remains the same; WHAT TO GIVE? WHOM TO GIVE?




Asikwambie mtu asee...It feels so good to be given a gift, but it feels so special to be given a special gift on your special day like your wedding day! acha banaaa. Kuna zawadi za kutoa kwa maharusi ukiwa kama mgeni mualikwa-the invited guest. Kuna zawadi za kutoa ukiwa kama ndugu wa karibu wa maharusi-the close relative. Hizi huwa ni kwa maharusi na pengine kwa wazazi au walezi.


Calphalon® Unison™ Slide & Sear Nonstick 10-Piece Cookware Set with Double Bonus
Jikoni eeee
Siku hizi zawadi zatolewa sanaa kwenye KITCHEN PARTIES. Yaani hii ni sherehe mahsusi ya kumuandalia bi harusi mtarajiwa "nyumba" yake. Zawadi hapa, kwa kiasi kikubwa huwa za jikoni-jikoni. Ila siku hizi zimesogea hadi chumbani-chumbani.

Kuna kitu kimeongezwa chaitwa BAG PARTY. Hii ni kama kitchen party ila anafanyiwa bwana harusi mtarajiwa. Wengine wanaiita SEBULE PARTY to reflect zile zawadi ambazo hulenga zaidi kuboresha na kutengeneza sebule ya mtarajiwa. They include the sofa sets, music system, the dinning table and so on.




Sasa challenge kubwa tuliyonayo ni watoa zawadi gani. Kwa ujumla wake ni kwamba toa zawadi ambayo anayepewa atafurahi. Na ili afurahi, basi kwanza mtoaji lazima aipende. Sio watoa zawadi ambayo hata wewe tu huipendi!! How can you give someone a present that you, yourself do not like and appreciate! Mara zote ni kwamba wampa mtu zawadi unayemjua, wajua anachopenda, know what they have been dreaming of having, their real dreams. Kama ni gari, wapeee, kama ni saa ya mkononi wapeee, kama ni shati la ofisini wapeee, kama ni champaige wapee, vitenge,simu za mkononi, mabati ya kuezeka nyumba..hahahahaaa...hata nyumba zenyewe..... lakini hata vidani ni choice nzuuuri.

 
 Nakumbuka katika harusi yangu nilipewa zawadi nyingi za mashati!! oh maamaah....mashuka!...ila kuna mtu alinipa saa ya mezani...yenye kengele!! patam apo ee..nkapewa dressing mirror kuuubwa...fridge kutoka kwa kamati...computer kutoka kwa my workmates na mijihelaaa!!

Kuna wakati inawalazimu marafiki kuuliza ni zawadi gani ungependa wakupatie. Si mbaya sana ila zawadi nzuri iwe surprise banaaa.LAKINI SASA NI MARA NGAPI WAENDA NA ZAWADI KWA MAHARUSI...

No comments: