Wednesday, August 22, 2012

Lovely Wedding! Martin Mariki to Edna @ Msasani Beach!

Ndoa ni uvumilivu? Nani kasema...ukavumilie kitu gani uko? Ndoa ni kujiachia banaaa. Tena ujiachie na yuleee best friend! Ukimuita My darling! Swtyto! My apple! My everything! Kulala silali nakuota wewe tuu!! Moyo Wangu wee! Yaani kila neno tamu la kwake! hiyo ndo ndoa banaa...Harusi ya namna hiyo utaiona tuu. Waangalie maharusi wanavochangamka! Yaani utajua tuu hii ndoa yaenda kuwa taaam! Hakuna cha kwenda kuvumilia. Ni kupendana, mwanzo-mwisho!
Check Mtanashati wa ukweli hapa; MARTIN  na The African Queen wake; EDNA! wamejiachia pale Msasani Beach Club, kwa sherehe ya harusi yenye mvuto wa kipekeee....Picha kutoka kwa McLuvanda. Tiririka nasi hapaaaaa...

Martin na Kipenzi chake; Bi Edna wakitabasaam kwa furahaaaa

Our Special Day; Tujiachie banaaaa

Mc Luvanda akiwa kasimamia show hapo!

Cheeeeeeeeeeeeeers!

Beautiful maids

Wow! What a posture!!

No comments: