Saturday, August 25, 2012

HIMA WATANZANIA WENZANGU; TUKAHESABIWE 26.AGOSTI.2012

Sensa 2012!!
Mengi sana yatasemwa, lakini ukweli utabaki pale pale kwamba hakuna nchi duniani ianyoweza kufanya mipango yoyote ya maendeleo yake bila kujua idadi ya watu wake. Hima! Hima! Watanzania wenzangu, tuhesabiwe kwa amani ili kutoa fursa kwa serikali yetu kupanga mipango inayotekelezeka. 

Nawasihi wale maharusi wote ambao mie nimekua Mc wao na familia zao wasonge kuhesabiwa. Nawasihi vendors wote wa indusrty yetu ya wedding; wapishi, wapambaji, wapigapicha, ma-MC wenzangu, maDJz wetu, wauzaji na wasambazaji wa bidhaa za harusi, wenye kumbi za harusi na wafanyakazi wao nk. TWENDE tuungane na watanzania wenzetu tuhesabiwa.

No comments: