Kukiwa na mchanganyiko wa rangi za yellow, aqua green na hot pink, Mrembo wa kupendeza akatokeza kwa mashamsham ajisogea taraatiiiib; Noela Kareen Katuga akiagwa rasmi ndani ya ukumbi maarufu- Mwenge Social Hall.
Ilikua raha tu. mziki safi usioumiza masikio, mdau asiye na maneno ya kuchosha....ila mwenye sauti ya biashara na uwezo wa kuburudisha wa hali ya juu, akawapa wananchi ile kitu roho inapenda.
Mila halisi za kihaya zikafuatwa na wachagga wale katika hali ya kukamilisha uhondo ili waweze kukabidhiwa binti bila matatizo.
Burudani za asili kutoka kwa Levina na kikundi chake cha Senene Entertainment ambao walimsindikiza bi harusi wakiwa kama groom's men na baadaye wakatoa show ya hatari ya kihaya....makhirikhiri na sarakasi za haja haswaaa.
Watanashati nao hawakubaki nyuma; Jerry, James na Brown almaarufu Vijana wa Zunguka wakaja na uhondo wa Show safi ya Zunguka...yote hii ni katika kukamilisha ile kauli mbiu yetu "Your satisfaction is our Achievement"
Fuatana nasi kwa picha hapa
|
Bi Noela (kulia) na shostyto; Bi Sauda |
|
Decor |
|
Dj Salim |
|
Mjikeki |
|
Mama Mzaa chema; Mama Noela |
|
wazazi |
|
Audience |
|
Unawowa kwa wahaya |
|
Wakapokelewa kwa heshima |
|
Wakwe |
|
Ze Mdau! |
|
Apo je? |
|
Tumedhamiria |
|
Mshenga; Mr Njaidi akijibu maswali ya hatari kutoka kwa Mjomba! |
|
Mshenga akimtambulisha Bwana harusi |
|
Bi harusi akaja sasa |
|
Mnanionaaaa!! |
|
Akasindikizwa na wataaaluma |
|
Mshikemshike |
|
Mdau akimnong'oneza jambo Mwenyekiti |
|
A minute of silence |
|
Champaigne |
|
"Shosti, umewaona mabest kule nyuma wa VISIMA?" |
|
Keki Tyme |
|
Kaka umetokelezeiyaaa |
|
Senene Entertainment |
|
Za Chihaya izo |
|
GRM Crew wakiwajibika |
|
Jerry |
|
Mama akitoa nasaha kidigitali zaidi |
|
Ze wadauz |
|
Uko wapiiii...whre u r |
|
kumbe upo hapaaaa |
|
Onja hiii kipenzi; upendo wangu kwako |
|
Tamu ee |
|
tumefurahi woooote hapa; umeona ee |
|
Wewe ndiweee chaguo la moyo wangu eee |
|
Wewe ndiwe unaefaa kuwa mume wangu eee |
|
Nataka watu wote wajue kua umewahiwa..... |
|
Acha mi niringe naaweeee |
|
Sarakasi umoooo |
|
Makhirikhiri |
|
Watanashati; JJB |
|
Wazee wa Zunguka |
No comments:
Post a Comment