Raha ya maisha sio kuchagua unachotaka ila ni kumpata yule atakayekua sehemu ya furaha na huzuni zako katika maisha...tabasamu la haja lianzalo katika harusi na litasongesha ivo ivo katika maisha ya ndoa..Songa nasi uone Mtanashati Ladislaus akiwa na mahbuba wake Binti Cynthia,,,,Tiririkaaa
|
Ladislaus na mkewe Cynthia wakiwa na tabasaaaam.... |
|
Muonekano wa jukwaa... |
|
Lijikeeeki..... |
|
Moja ya meza za waalikwa.... |
|
Wazazi wa Bwana harusi wakiingia... |
|
Wazazi |
|
Ze totoz..... |
|
Maids Wakijimwayamwaya kwa poooz za kuingia.... |
|
Mshikemshike meen... |
|
Ladies and gentlemen...and now...the Bride and Grooooom!!!! |
|
Mahaali nimefikaaa...nimeona mkono wakoooo..na sasa ninasemaa..weewe ni Ebeneezaaa!! |
|
Vaa koti Kipenzi.... |
|
Apo jeeee... |
|
Dada Violet, tuombee shughuli yetu apo.. |
|
Pendeizaaa.. |
|
Ze Mwenyekiti...tupe mambo!! |
|
Le Champeni... |
|
Hulewi apaaa.... |
|
Ninyweshe basiiii.... |
|
Ewaaaaa,,, |
|
Tuikate sasaaa... |
|
|
|
|
Asante wazazi.... |
|
Mr & Mrs Chuma; wasimamizi wa ndoa... |
|
Jerusalem Vibrant Brothers (JVB) wakitoa zile za Zungukaaaa... |
|
Hapa ni Adam na Jimmy; groomsmen wakiigiza wimbo wa ADAM wa Christina Shusho |
|
Bw na Bi Stanley Kyungai wakiwakilisha... |
|
The Mama Kareenz... |
|
Bw na Bi Akwilino Msagamasi ndani ya nyuuumba... |
|
Wakwe kutoka Hai |
|
Maids na groomsmen wakitupa utamu wa kwaito Mpya stlyles... |
|
Wakisubiri zawadi zao |
|
Ze Kamatiz... |
|
Shukrani kwenu mabosi zangu!! |
|
Na wakwe... |
|
Na wazazi na wakwe.. |
|
Tunasepa.... |
No comments:
Post a Comment