Friday, August 17, 2012

WHAT A WEDDING!! Daniel Chumu to Jacqueline Mafuru at Sea Cliff Hotels, D'salaam!Raha ya ndoa ni kumpata unayefanana naye ...yaani ni rrrrhhaaa!! Tabasamu la harusi litajidhihirisha siku zoooote za maisha yenu ya ndoa. Wakati wa maandalizi ya harusi, kuna mengi wakutana nayo; mengine yanakera na mengine yanaleta changamoto. Linalokupa nguvu na kutokukata tamaa ni kuona juhudi zako za kuandaa harusi zinakamilisha ndoto zako za kuishi MILELE na yule umpendaye...hapo hutasita kunena maneno mataaaaamu pale kwa Altare; YES I DO! daaaadek..The Handsome Daniel Chumu akajiachia na Best Friend wake wa kitambo The Beautiful Jaqueline Mafuru!Shughuli ilikua paleee pembeni ya bahari ya Hindi; Sea Cliff Hotels ikiwa na uhondo wa rangi ya machungwa!! Tiririka nasi kwa matukio kwa picha zinazokujia kwa hisani ya kaka yangu McLuvanda...

Nakupenda weweeeee!!!


The Maids and Groom's men; SUPERB!

Dany na Jacquey wakiingia kwa mbwembwe!

McLuvanda na Maids Pamoja na Groom's men akisimamia show..
Wamependezaaaa! Hawajapendezaaaa!!

Mr Twisa aki-serve champaigne! 


Wazazi sasaaaa....  

Ushawai kuona the classic cake kama hiii!! Kalaghabhahoooo!
Hapo Jeeeee!!

Beautiful Shostitooooz!
Bila nyie; Hatuweziii...


Tule kipenziii...!

We are veeery busy!

2 comments:

Anonymous said...

My brother suggested I might like this blog.
He was entirely right. This put up truly made my day.
You can not consider just how so much time I had spent
for this information! Thank you!
my website: facebook marketing strategies

Anonymous said...

Hi I am so happy I found your weblog, I really found you by mistake, while I was browsing on
Aol for something else, Regardless I am here now and would just like to
say cheers for a marvelous post and a all round interesting blog (I also love the
theme/design), I don't have time to look over it all at the minute but I have saved it and also added your RSS feeds, so when I have time I will be back to read more, Please do keep up the superb job.
Also visit my web page : great summer cottage