Friday, April 19, 2013

Picollo Hotels; Abraham Mcharo Mshana weds Clara Mabiki!!!!

Ilikua ni furaha ilioje, pale marafiki wawili wa siku nyingi, walipoamua rasmi kuvunja ukimya na sintofaham za siku kadha wa kadha ili kutimiza maandiko "...nae ataambatana na mkewe...". Abraham Mcharo Mshana kutoka Usangi kule Kilimanjaro na Bi Clara Mabiki wa mkoa mpya wa Njombe wakawa rasmi Mr & Mrs Abraham Mcharo Mshana. Hii ilifuatia kiapo maarufu "YES I DO" pale kanisa la KKKT, Kurasini. Shughli hiyo ikahamia pale Grande Hall, Picollo Hotels.

Wakiwa wamependeza na rangi zenye chaguzi kutoka mioyoni mwao, wakaingia kwa mbwembwe na tabasam la kutosha na huku wakicheka na kugonga mikono yao wakionesha ukaribu walio nao na haswaaaa, hapo ilikua ni destination yao. How sweeet!

Kampani ya kuyosha kutoka kwa ndugu, jamaa na marafiki ilikua ya haja haswaa. Their co-workers kutoka DUCE kwa Abraham na wale wa Minaki High school kwa Clara, hawakuwaacha wapweke. Wakacheza nao, serebuka kiukweli kwa uhondo kutoka kwa Dj Salim akisaidiwa uratibu na Mdau wenu hapa mwenye sauti adimu ya biashara. Kwa kweli, it was so great!!

Colours: silver na dark blue

Songa nasi...2 comments:

Anonymous said...

Asee nimeipenda sana hii,imekaa poa sana.Sipati picha kama nimemaliza hii shughuli bali hizi picha ndizo zinanishuhudia aisee.Thanks sana McNdimbo.

Anonymous said...

jamani mbona simuoni Noel jesse. Mimi sijapenda bwana wapi Noeliiiiiiiii