Sunday, December 23, 2012

Said Abbas Bungara weds Bi Rehema Mohammed Kingwande @ Mayfair Hotels,Dar es Salaam

Ilikua ni nderemo na vifijo hapo katika ukumbi maarufu wa Mayfair Hotels a.k.a Bouquet Hall pale kijana msomi na mwenye tabasam la haja, Bw Said Abbas Bungara alipofunga ndoa na kumvisha pete kipenzi chake na rafiki yake wa siku nyingi, Bi Rehema Mohammed Kingwande. Ilikua ni mshike mshike na burudani safi kwa kweli. Shughuli ilikua na wenye shughuli haswaaaa. Wakiwa na furaha kwa kila dakika hivyo kuwafanya maharusi wawe na furaha pia.

Dj Smol akiwa anasumbua nyuma ya mashine na mdau kama kawa nikiwapa raaaaaha. Hebu jongea hapa chini na upate udaku kwa picha apo.

Colours; tangerine a.k.a karoti na blakWow! Bw Said Abbas na mkewe Bi Rehema


Mheshimiwa Balozi akitoa neno la nasaha kwa ufasaha


3 comments:

Anonymous said...

CONGRATS SIDE AND WIFI.SO SAD WE MISSED IT HAKIKA SHGHULI ILIPENDEZA.
G.S.

Chocolate said...

it was such a grt wedding...many congrats to u dia Rey n Said..much love:-)

Saida said...

it was such a grt wedding...many congrats to u swt Rey n Said...God bless u