Friday, September 21, 2012

THE BRIDE'S DREAM DRESS...PASUA KICHWA!!

Mipango ya harusi ina challenges zake... Moja ya uhondo wake kwa bwana harusi ni kujua Mtarajiwa wake atatokelezeiya vipi. How best one can choose the wedding gown. Watoto wengi wa kike wanakua na picha ya jinsi gani wangependa kutokelezeiya. Ila kwa kupanuka kwa industry ya mavazi kwa sasa, uchaguzi wa kilicho bora umekua na wigo mpana sana na hivyo kufanya kazi ya kuchagua a wedding gown la maan kuwa so challenging. Leo tena, kama kawaida, nakupa utamu wa kuona ni kwa namna gani waweza kuchagua the wedding dream dress au wewe Bwana Mtarajiwa kuona na kwa jinsi gani Mtyarajiwa wako anaweza kupendeza siku yenu ya harusi

Tiririka hapoooo
Kiafrika zaidi


Na Vijikamba ivi!


Na Purple!2 comments:

JUDITH MASACKY said...

am soo in luv with the dresses and the brides mek up...kwa hayo magauni tu i wanna get married...

McNdimbo Reuben (Jr) said...

Hahahahahaa...Judiiiiiih..get married just beause of magauni..so lovely...jipange mamiii