Wednesday, April 17, 2013

Quality Centre: Paskal Mwaja Agonga Nusu Karne!

Raha ya kuishi ni kuishi tuuu....kula vizuri, lala vizuri na uishi kwa upendo na watu. Hizo ni baadhi tu ya sababu za kuishi miaka mingi. Paskal Mwaja, mtu wa watu huyu, aligota miaka 50 juu ya alama siku ya tarehe 13, April, 2013. Hakuona ajizi kwa nini asijumuike na ndugu, jamaa na marafiki apo BNN Restaurant ndani ya jengo lenye mvuto na lenye biashara za kimataifa, mbadala wa Mlimani City; Quality Centre!

Shughuli ikaanza rasmi siku ya ijumaa saa 12 jioni na kuendelea hadi saa 6.00 usiku, ambapo siku ya tarehe 13. april ilikua ikianza rasmi. Hapo mda huo, keki ikakatwa na kuchombwezwa na wimbo maarufu sana duniani wa kutakiana heri katika siku ya kuzaliwa; Happy Birthday To You...Happy Birthday To You.

Bw. Mwaja akakata keki yake akisaidiwa na watoto wake na mke wake kipenzi, Tamara. Wakiwamo dada zake, wajomba, mashangazi, binamu na marafiki zake wa mtaani kwake: The 15 Family, siku hiyo wakiongozwa na Papaa Mbwana, Makamu Mwenyekiti wa kikundi hicho.

Utamu ukanogeshwa na kinywaji kile mtu anapenda na msosi wa hatari. Katikati, Mdau nikawapa raha nikisaidiana na Dj wangu ajuaye kazi yake vyema, DJ Smol. Hapo ilikua ni bak to bak, ndombolo na ngwasuma, taarab na mduara, bongo flava na zile zetu za Zungukaaa zungukaaa! Utapendaaaa... Crew ya wapiga picha ikaongozwa na Muzee ya GX; Mgaza Kossey!! Chezeiyaaaa..

Songa nasi apa


Mr Paschal Mwaja akilishwa Keki na mkewe Bi Tamara; katika siku yake ya kuzaliwawadau

The dadaz


Dr Mgosha (kulia) na wadauKijana Danda (katikati) akiwa na Mdogo wake Mwaja
Kisimpo zaidiMwenyekiti akikaribisha wageni


Mama Mc (kushoto) akiserebuka na wadauFull kujiachia


Bw Paschal Mwaja akimtambulisha mkewe kipenzi; Bi Tamara


The 15 Family wakitambulishwaMgaza, (kushoto) na Deo apo kati wakijiachia


Ze KwaitoZe Totoz; Khayla na mdogo wake


Pendo...a.k.a Mama Deo akisalimiaDeo na Ze champein


Apo Je?
Mjomba (kulia)

Mrs Senya na kiremba chake...


Muzee ya GX Mia!!HamiduuuuuMama Nyambere!Nyambere na Papa MbwanaKunywa Toto Njuli eeeehApo Jee?Mambo ya Msingi


The SimbazBeatrice, Mama Junior na Muzee Nyamberee wa KujirushaPendo na BeatriceSaburi...mamaa McKitu cha familia na Mzee Kossey

Goden Machilika na wadau wa !5 FamilyHaya na tuikateee kekiii


Dadiiii.....tamu eeeeHongera Best!!Asante babiiiiWaache wenyewe wajichumu eeee, mie nakula keki ya dadiiiiMzee Kossey


Hongera Kipenzi; Kumbe na wewe ni leo!!Ngoja na sie tusongeshe tu, mule mule!!Na mwakani basi unikumbuke tena kwa birthday yetu!!Hongera kaka


ShemejiiiiiiDadaMdogo wake

Wakilisha 15 FamilyHongera Mwenyekiti!Wakadandia kimtindo; 3 years kwa ndoa!!Na mie Je?Na usingenipata kipande ya keki; kungekua hapatoshi apa!! Hongera kaka!


Ze MgololeHuyu ndo mume wangu eee!!


3 comments:

Anonymous said...

ma bubaa wapi?sijakuona

Christine Mwaja said...

Kweliii jamani wapi mamkubwaaa?...
Hongera sana Mungu akuzishie miaka mingi yenye afya,furaha na amani teleee....

De Danda said...

Ahsante sana Mc Ndimbo.... kazi nzuri! keep it up!!! Hongera kaka Paschal,,, miaka 50 si kitu kidogo! Mungu akujaalie ufikishe 100+ ukiwa na afya njema, kipato na roho safi kama ulivyo sasa, Happy Birthday Paschal Mwaja!!!!