Wakiwa na hamu ya kuimba na kucheza kama wanaongoza kwaya kanisani, Wanyakyusa wale walikua wamefurahi saaaana. Ni nderemo na vifijo vya kutoosha kabisaaaa kumuaga binti kutoka Ipinda - Kyela, Bi Glory mwana wa Mwaipopo. Akiwa amependeza na muonekano wake wa kujiamini sana, Bi Glory aliingia ukumbini kwa tabasamu la haja akisindikizwa kwa ukaribu na best friend wake, Bi Neema Mwaibabile.
Mambo yalenda bam bam hakika ndani ya ukumbi wa Jeshi apo Airwing. Watuwakijawa na sura za tabasamu na burudani ya kukata na shoka, katikati mdau nikiwapa roho inavotaka....bhaaaaaasi!
Jongea nasi apa japo kwa uchache!
Colours: Brown, Gold na Orange
No comments:
Post a Comment