Monday, July 2, 2012

HARUSI YA GREGORY NDIMBO NA ZIPORA kISAMA

Bwana Gregory Omega Ndimbo na Bi Zipora Kisama walifunga ndoa yao katika Kanisa la Anglican St Alban jijini Dar es Salaam na baadaye ikafuatiwa na sherehe nzuri ya kuvutia pale Sunset Tembo Hall. 
Rangi ilikuwa Dark Blue na Silver..mapambo na misosi ni hapo hapo Sunset...
Tirirka na matukio katika picha hapa....

Bwana Gregory na Mkewe Zipora

Wakiwa na Vyeti vyao vya ndoa
Zipora
Gregory


Kitu cha Weding cake baab...

Round tables...

GRM ni nouma!! Chek view ya ukumbi apo..

Wazazi; Familia ya kina Ndimbo wakiingia ukumbini

Maids wakiongozwa na Aidan Njowoka, kushoto apooo
Wasimamizi; Bw Vinikute na Mrs Fidea Gody wakiingia
Bi arusi akiingia ukumbini

Akisonga na koti la mumewe

Angalia kitu cha angle apooo (GRM)

Mama Gregory akija na pozi za kingoni apoo
Wazazi

Wakwe; Familia ya Kissama

Mchungaji Nchimbi akiombea shughuli

McNdimbo akichombeza na champaigne

Bw Shadrack Ndimbo akipata baraka kutoka kwa Dr Daniel Ndimbo

Kitu cha pwaaaaaaah!!!
Flying cheerrsss!!

Pima mapigo ya moyoooo!!!

Kunywa mpenziiii


Ulimwengu wooote tupo sisi tuuu...

Ni weweee unaenifanya nijiskie nipo juu kwenye hii duniaaa..

Apo saaasaaa.....


Bw Gregory akitambulisha wale wa kiumeni...

Kitu cha keki time sasa...

Kama njiwa eee
Maakuli...
KWAITO kaa wimbo wa Taifa!!
Pozi la Tembo Cement!! chezeiyaaa..
McNdimbo akiwaongoza mabrother na masister kutoa zawadi

Bw James Munuo akimpa madongo Bw harusi
Zawadi collection

Mama Mlezi, Mrs Mary Njowoka akituzwa

Mama Gregory kushoto na mama mdogo, Mrs Mgoma-zawadi
Mrs Graceana Wajimila Msuya akiwapa mkono wa heri
Kwa Heriiiiiiiii!!!!!!

No comments: