Monday, September 24, 2012

Maids with FLOWERS ....Kibongobongo Je??

Harusi bila maids waala hainogagi eee. Wajua maids ndo kwa kiasi kikubwa huwa wana-reflect ile colour of the wedding. Yaani kama ni kipaplipapli..(Purple) au blue, tangerine au black, basi kwa ujazo wa kutosha utawakuta maids na flower galz wame-shine ile mbayaaaa na kutupia kitu cha kutosha cha mzigo wa wedding color. Siku hizi, trend imesogea na kuibukia kwa send off, ambapo unawakuta pia flower galz. Katika utafiti mdogo site hii iliyofanya, zaidi ya 75%  wanaamini kwamba maids kwa send off wanaipendezesha sana. Sasa kwa sasa naona maids wanatoka sana na nguo ndefu, ingawa hata fupi zinawapendeza sana. Sijui ndo trend ya fashion imeenda kwa kona hiyo ukoooo. 
Sasa kuna kitu huwa najiuliza...Hiviii, can we have maids without flowers?? Hapa utawaona wakiwa na flowers zao, but this does not usually appear to be so kibongobongo...flowers?? This is why we call them flowers...tiririka hapa kwa picha za different colours kwa msaada wa Kerry Wedding Fash page...

Yellow

Purple

Greenish

White to Pink

Hapo Jee


Army Green
Purple na Hot Pink

BlueWow

Red


Posture!

Mini Time!Black is Beautiful


1 comment:

Anonymous said...

basi nilikuwa situi mwenzio, marekani flower girls ni wale (bibi arusi mdogo)watoto wadogo mbele coz huwa wanarusha maua kabla bibi harusi hajaingia hii ya maid kuwa flower girls i guess is something new