Friday, September 5, 2014

Life Time Memory for Mike & Irene Ndeshiwooona.....

Haikua kazi ngumu kuwafanya watabasamu, kwa kua Mike na Irene walizaliwa kutabasamu. Hoi hoi kanisani na hadithi ikakamilishwa paleee Flamingo Hall. Nyuma ya deck ya muziki akisimama one of the best DJs in town, Dj Ndende kutoka Respect Djs na Mtanashati wa Mujini, McNdimbo nikawa nyuma ya Microphone. walicheza mpaka wakakaaaa..ilikua ni sheeeeedah!!
 
Fuatana nasi kwa picha safi, za kuanzia,  kutoka kwa wapigapicha hodari kabisa: Masero Production-0754711031
 
 
  


  

No comments: