Tuesday, April 23, 2013

Dunkeen House, Mikocheni; Ally Mwambo Marries Emelyna!

Raha ya maisha ya ndoa basi upate umpendaye. Hii ndiyo haswaa ilijidhihirisha hapo Dunkeen House kwa sherehe ya harusi ya Bw Ally Mwambo na Bi Emelyna Ally Mbwambo. Wakiwa na furaha iso na kifani wakunganisha koo mbili kutoka katika uhusiano wa utani na kua na uhusiano seriuos..yaani wachagga na wapare.

Kampani ya kutosha kutoka kwa ndugu na jamaa na marafiki ikanogeshwa na kazi safi ya Mwana wa Mshikemshike akisaidiana kwa karibu kabisa na Dj Smol. Ilikua ni rrrrhhaaaa.

Bila ajizi, songa nasi kwa muhtasari wa picha hapa...

Colours: purple lavender na silver













































































































































































No comments: