Wednesday, June 3, 2015

Usiku Mwanana wa Danda a.k.a De na Bi Asha @ Golden Jubilee...

Muzik by Respect Djz: Ndende

Chakula: Dorkas Catering

Picha na Video: GRM

Kitu cha Birian kutoka kwa Dorkas Catering
Angel Magoti, the talented vocalist alikuwepo kuongeza uhondo

McGichogo akaja kutupa hi kidogo na hapa anachanganyikiwa na uhondo wa Respect DjsNo comments: