Friday, December 28, 2012

What a Pre- Wedding Party! Adv. Evelyne Happy Ndunguru is Sent off @Mlimani City!

HAKUNAAAGA, ZAIDI YANGU MIII NA WEWE, HAKUNAAAGA ZAIDI YANGU MII NA WEWE! What a caption! Ilikua ni kibwagizo tosha cha kumfanya Bi harusi Mtarajiwa, Evelyne Happy Ndunguru kumkamata vizuri mkono wake Bw harusi Mtarajiwa, Luteni Rajabu Mdee na kumtambulisha rasmi mbele ya kadamnasi ya ndugu, jamaa na marafiki wapatao 800! Pale katika ukumbi maarufu jijini Dar es Salaaam, Mlimani City.

Uhondo huo, ulinogeshwa na kelele, vifijo na nderemo kutoka kwa mabest wa bi harusi mtarajiwa...mashosti wa toka kitaaambo, toka enzi za O' level; Bi Asha Farahani Nzowa, Chrecencia Nyambo na wengineo. This was a very memorable event!

Huku Juacali akiwa na Band yake; The African Voice Band wakiongeza ladha apo. dj Salim akiwapaidha vilivyo na kati apo Mdau nikiwapa uhondo wa haja kabisaaa.

Wakwe, familia ya Prof Mdee, akiwamo dada wa Bw Harusi Mtarajiwa, Mh Halima Mdee na Mh Bulaya, waliingia kwa furaha na baadaye wakajimwaga na uhondo wa kipare haswaaa. Burudani ya ngoma za asili ikakamilishwa na kikundi cha wamatengo kutoka Mbinga kule....this was really awesome!

Songa nasi kwa uchache hapa.

Colours: Gold na Red

Wow! Na Rafiki yake, Bi Brenda Nicky, the Matron

The Decor


The Cake
Table set up


Wamatengo haooooo
What a smile!


Dj Sally


The Ndunguru's; Wazazi


Prof Mdee & The Family; Wakwe


The Matron; Bi Brenda Nicky
Bi Harusi Mtarajiwa na Mdogo wake wa mwisho, Neema wakiingia apo


Mwenyekiti akitukaribisha


Ze Kamati


Ze Wadogoz


For Bi Harusi Mtarajiwa


lovely!


Le Cheeeers


Cake Time


Thank yo my dear parents


Thanks Wakwe


Thank you mama


Thank you Kamati


Ze Matengoz


Na yeye yumo eee


Mshikemshike


Hapo Jee


Wakwe
Mheshimiwa Halima Mdee akiburudika pia
Mdau


Mh Esta Bulaya akimtania Bi harusi Mtarajiwa wakati akielekea kumtafuta Mtarajiwa wake


Nimekubaaamba!


HAKUNAAAGA!


ZAIDI YANGU MII NA WEWE


SISI NDO SISI!


Menyuka


Hapo sawa?


Mtaalamu wa Maarifa ya ndoa akatoa Mada


wow


Wazazi; Mr & Mrs Narcis Ndunguru


Wakampa zawadi ya maana!


The workmates from Morogoroooo!!


ZE MUDEF!


KAMATI


BYE BYE


Wakwe wakiaga


da Posture

No comments: