Thursday, January 3, 2013

AT LAST! GREEN EMERALD IS NAMED 2013 WEDDING COLOUR OF THE YEAR!...

According to the Mamlaka ya Rangi za Harusi duniani (PANTONE) Radiant Green Emerald imechaguliwa kama colour of the year ya  2013.
Emerald is “Lively. Radiant. Lush… A color of elegance and beauty that enhances our sense of well-being, balance and harmony.”
According to PANTONE, inayoundwa na wajuzi wa fasheni na mitindo, green is more hue to nature and it is has a global appeal, It is sophisticated, radiant and mostly peaceful colour.
Wataaluma hawa ndio walitujuza about Tangerine being the wedding colour ya mwaka jana, 2012. 
Shuka hapa, utate vionjo vya wedding colour ya 2013!! GREEN EMERALD
KWA WALE WA VIONJO VYA VITO!



Na hapa


Look at how beautiful the bride can look with the maids around in Emerald Green!!

Wow!
The decor's taste!!
Hapo Jee?
Vikorombwezo!!
Waalike na ndugu na jamaa ki-Emerald Green baaab!
Invitation card
 
Ever seen Emerald Green in the world of fashion?? Have a glance here...
Lovely!!
Hapa Jee??
Kim Kardashian in Emerald dress
Green Emerald
 Emerald brings a sense of clarity, renewal and rejuvenation, which is so important in today’s complex world.
As the trend ya mwaka 2012 ilikua na very bright colours, mwaka 2013 the fashionista see the trend going  to a bit kind of shrinked colours. Hapa ndo utam uleeee wa crazy colours utapokua ukipungua pungua. Hata hivyo kwa wale wanaopenda bright colours, basi kitu cha baby yellow kitatawala ndani ya 2013!!
Hapo jeee!!
 Panga upendeze kwa wedding yako...kwa raha zakoooo!!

1 comment:

Anonymous said...

Jamani hiyo green nini nini sijui sisi weusi tutavaaa kweli? manake wakati mwingine rangi zinaonekana nzuri kwa kua zimevaliwa na watu wenye ngozi nyeupe.. nasubiri kuona picha za wenye rangi kama yangu kwanza kabla sijaingia kwenye mkumbo wa kuivaa!