Tuesday, August 14, 2012

The High Heels Swaggar!!....Mchuchumio baaab!

Fashion is really a circle. Siku hizi tumevamiwa na mitoko ya high heels a.k.a michuchumio...yaazni ukienda harusini utaiona hiyo. Kwa kweli inapendeza sana. Kwa sasa designers wanaziweka katika rangi tofauti tofauti. Mvaaaji anaamua tu, aweke na kumechisha na gauni, na pochi au mkoba au apige ile wanaita kachumbari!! yaani mkoba rangi ya kijani, kiatu cha njano, mkanda mwekundu...weeeee!! unatokelezeiyaaaje?? Uzuri wa hizi mambo ni kwamba they take you to a shining point hata kama umevaa mavazi ya aina gani...kwa jinz poaaa, kwa mini skirt (uwe na mguuu shostiii!!) poaaa, kwa gauni ndefu..poaa...kwa tyt zenu zileee...inakaa vizuri tu. Kwa Rangi za harusi sasaaa...full kujirembaaa! Chezeiyaa! Wanawake wa kisasa wanajinunulia wenyewe hizi mambo otherwise mijidume uku ni lazima kujipangaaaa!! Tiririkaaa kutoka My Shoes Collection....

Pink na white

Dark Blue na Black

Kitu cha Silva baaab

Blach na Silver apoo

Mixed grill apo


Gold na Blak....chui chui!!

Black and Yellow!

Purple baab!

Oups! Blak n Pink

Brown flan ivii

Mpauko flan ivi wa Pink..

Royal Blue!

Purple na blak...

Mmmmh!!

Nampenda mpendaaa...naani!!

Maroun na whyt

2012 colour of the year!! Tangerine tango!

Gold...

Sema wewe apooo...

Maroun na gold!

Pink na punda milia eeh!

Colour of Love!

Nimpende naniiii?

wow!

Niseme nini sasa apo

Green? which grin sasaaa...penda ii mimi!!

kitu cha tausi apo nyuma na purple!

Soooo Girlish!!

Nambieeeee

Mixture!!

Nataka tenaaaa....

Red & Blak!

Nani hataki sasa!!

Maua mazuuuri yapeendeezaaa!!

Bbbbbaaaaaaaaaas!

1 comment:

Majoy said...

Daaah nimevipendajeee! Upo juu mkaka kazi nzuri