Sunday, June 10, 2012

HARUSI YA JOSEPH & AMINATHA - LAMADA HOTELS

Baada ya kujipanga kwa muda wa kutosha, kijana mtanashati Joseph Andrew Buko, jana alifunga pingu za maisha na wake wa ubani wa siku nyingi, Aminatha Amin Makanyaga na kufuatiwa na sherehe saaafi pale Lamada Hotels, Ilala Dar es Salaam. tiririka nasi apa.....

Bw Joseph na mkewe Aminatha


Lamada Hotels high Table

Wedding Cake
Bw Joseph na Bi Aminatha wakiingia ukumbini

Dj akiwa kazini

McNdimbo akifungua Champaigne na kitu cha Dushelele

Raha ya champaigne Vifungu banaa

Matron, Bi Irene Joseph akiwaandalia maharusi keki

Bi Aminatha Joseph akiwashika mkono wakwe zake baada ya kuwakabidhi keki

Bw Joseph na Bi Aminatha wakipeleka keki kwa wazazi wa bi harusi

Bw Joseph akiwapa wakwe zake keki

Wageni waalikwa wakijiachia na muziki wa pekee; Kitambaa Cheupee

Bi Aminatha akitambulisha

Bw Joseph akiwa katika pouz...

Wazazi na Wakwe wakisubiri kupata ndafu

Bestman, aitwa pia Joseph akikata ndafu; hii wanakula maharusi na wazazi wao tu!

Maharusi na wasimamizi wao wakimenyuka!

Ze Anko akitoa neno la nasaha kwa niaba ya baba mzazi

Mama Jose akitoa neno la nasaha pia..

Jerusalemu Vibrant Brothers wakitoa burudani

Mdau, Mama Benaiah (Mrs Mc) akitoka kuwatuza waburudishaji

The twinz maids; Kurwa na Dotto wametokelezeiya

Wakwe wijipa raha na mambo ya Sangula...Pogoro original!

Mtu wa Watu! Mh Kombe ...all the way from Mwanza!! Big up!

Mh Kombe (kushoto) akitoa neno la nasaha, kulia ni Afande Mpinga

Mr & Mrs Joseph wakiwa na wakuu wa kazi wa Bw Joseph

Kamanda Mpinga, Afisa Mnadhimu wa Polisi-Tanzania akitoa neno kutoka Singida

KWAHERINIIII.......

McNdimbo Akijiandaa kufungua champaigne

No comments: