Monday, July 9, 2012

THE CLASSIC WEDDING EVER!! FREDRICK RINGO TO DONATHA MBUNDA-SUNSET TWIGA HALL DSM....Chezeiyaaa!

Mtanashati Fredrick Herman Ringo apo siku ya 7-7 SPECIAL alifunga ndoa na rafiki yake kipenzi a.k.a NEIGHBOUR, Bi Donatha Daniel Mbunda na kubadilisha status zao katika Facebook, kutoka Engaged hadi Married...Walifunga apo Sinza KKKT na kufuatiwa na boooonge la sherehe apo SUNSET-TWIGA HALL, MBEZI BEACH....tiririkaaaa....

Mr & Mrs Fredrick Herman Ringo

Hapa Wakiaga rasmi Ukapera kwa kukata utepe pale kanisani






Ukumbi ukiwa umependeza kweli kweli na kitu cha Black & Red

Donatha Design!!

Dj Small akipanga vitu vikuubwa






Wazazi; Mr & Mrs  Herman RingoWakiingia

Wakwe; Mbunda's Family wakiingia

The Ringo's wakiwakaribisha The Mbunda's

Watoto wakitia baraka ukumbini

Huyu aliingia kwa style yake



Kazi ya Donatha (Bi arusi) alibuni vazi la maids!!

Groomsmen na maids wakifuatia kwa pooz


Wasimamizi: Bwana Peter na Bi Stella


Maharusi wakiingia kwa shangwe


Donatha na mmewe wakiwa wamechangamka!

Ze Dada!


Ze Neighbours!!

Groomsmen...

Blood brothers na blood sisters wakifungua champaign..

Akaanza dada mkubwa Dr Faith Ringo...


Wakaja wengine; Kaka Sunday, Dada Pendo, Dada Grace

Champainge kila meza!!

Cheers na vidole bi dadaaa!!


Mambo ya kujikekisha apooo...



Safari ya Old Moshi apoo

Bonyeeeeee......

Asante wakwe zangu!

Asante wakwe zangu!

Thanks wazazi....

Habari zeeenyu banaaa...


Baaaaaaaasi!

Njoeni tucheze mashosti....

Wamatengo hapo sasa...ni appreciation iyoo

Mzazi Bw Herman Ringo akitoa nasaha..

Kitambaa cheupeee

Jamani Wiiii!


Mdau akifuta jasho...chezeiya

Rrrrhaaaa....


Anajiachiiiia...raaha ya harusi banaaa


Kwaito adi kwa watoto!!

Ukutiiiiii.....



Tambulisha kiumeni

Wadau....

Maids


Hakuna mtu kuchakachua mfuko wa mwenzie aseee...

Mmatengo ashakua mchagga!


Apa mambo ya Sooongela! Kinyirama..Mama Ringo akiwajibika..

Kwanza kabisa namtambulisha My Handsome Neighbour!

Kimatengo sasaaaa!

Mchagga bila hii kitu haiwezekani!!

Wazazi wakikata ndafu

Karibu kwa Waliooa!

Asante baba



Asante mama Mkwe

Asante wakwe

Sweet Mama!

Twen Tukale

Yah...Sisi ni mapacha wa nje!

Mashosty!

Burudani kutoka kwa Zunguka Boy!


Pouz!

Zawadi za Maanko na Bibi yao

Mama Ringo akitamka zawadi ya familia

Mh Hakimu Mstaafu, Bibi wa maharusi

NBC Staff


Tha Family...Heeh Pendo ushabadilisha Kiatu!!

Bi Dada apooo...Jamani asanteeeni!


Sie ndo Mabest wa Tangu Loyola Sec hadi UDSM apa tunawajaza manooti!!






KCB Staff

M-KCB aitoa neno kwa maharusi

Ankoooo! Floor Manager

Raaaaha!


Mama wa Ubatizo..mamdogo Ruth


Mamdogo Ruth na Kaka Abuu na mkewe




Kuzaa raha eee



Kiti icho mbona hakina mtu?

Aaaaah...kumbe cha baaba!

Wow!



Kaazi kweli kweeli!!


Wakwe

Mdau akiwa na Dj wake! Chezeiya!



Al Miss u maaam!


Profesa akitoa nasaha!

Zawadi collection











Tukicheza, Sherehe haitanoga! Enzi za Ubachela apa!


No comments: