Kitu cha Purple |
Wakati naandaa harusi yangu, back in 2007, katika mambo yaliyokua yananiumiza kichwa ilikua harusi yangu iwe na rangi gani?? kila harusi niliyokua nikifanya (kama Mc) nilikua naona watu wamependeza tu..lakini bado nikawa naona kuna kitu wana-miss. Though nilitegemewa na ndugu na jamaa kwamba nina exposure ya kutosha katika tastes za different weddings, ilipokuja suala la rangi NILICHEMKA! hahahahahaaa....so funny eeh? My young sis, Hellena (aka Mama Mary Manka), came to my rescue. Akatamka tu "GREEN APPLE NA CREAM" and so it was. MEN ARE BLIND OF COLOURS.
Hot Pink na Purple |
Rangi ya harusi ni issue ya kufikirisha sana kama unataka harusi iwe na ladha inayokidhi kiu yako. Wajua ndoto za harusi na hasa kwa kina dada (ma bi harusi), huanza tangu wakati wa kuchezea vifuuu; kule kabisa utotoni! Sasa, if you did not know, waweza ku-ruin your wedding just because of the choice of the wedding colour. Yaani waweza ona bi harusi kanunaaaa, kisa kumbe you gave them a very wrong choice of their colour.
Ni vizuri sana kuwashirikisha ladies katika kuchagua rangi mahususi ya harusi. Ni wao kwa kiasi kikubwa ndo hushonaga sare sare mauaa kwa ajili ya kutokelezeiya na rangi hiyo ya wedding; Maids, dadaz, mamaz, mashangaz etc. Kina kaka, mara nyingi utawaona wamepiga mashati au just a tie or neck-tie yenye rangi ya wedding. Hata hivyo kwa modern designers wakuta kina kaka wana single-button ya ukweli ya rangi ya wedding. (angalia page yangu ya Maids dresses apo juu).
Tangarine Tango |
Wedding colour huwekwa na designers wa ughaibuni na kuleta what they call A WEDDING COLOUR OF THE YEAR. Kwa Mfano 2012 ni TANGARINE TANGO! That suggested colour ndo wakuta yachanganywa na rangi nyingine sasa. Some would have two colours...wengi wako apo. Others would have three mixed colours, some four and others even more (Kachumbari baab). Kwa wenzetu huwa na different colours kutokana na theme ya harusi yako; Formal, Romantic, Beach au yaangalia majira ya mwaka; Winter, Summer, Fall/Autumn etc (see http://www.prye.com/view/wedding_colors.html)
All in all, kuna wakati unaona colour of the year does not suite your tastes, don't worry...it is your special day. Give yourself a break and decide. Hudhuria harusi za wenzio, tembelea mitandao na blog hii, kaa na marafiki na ndugu ila mwisho wa siku ni wewe na mwenzi wako ndio wa kuamua mwapenda rangi gani kwa wedding yenu.
Red & White |
Apo Jeee??? |
No comments:
Post a Comment