Thursday, November 8, 2012

My Graduation ....A Masters Degree in Linguistics..

Safari haijawahi kuwa ndefu hivi. .. Lakini ni jambo la kumshukuru sana Mwenyezi Mungu kwamba kazi ikafika ukingoni. Kuna wengi sana wa kuwashukuru katika safari hii. Kwanza kwa My mother, The Late Elizabeth Debora Ndimbo. She believed the only urithi halisi kwa mwanao sio magari na nyumba, sio viwanda na miradi ila ni elimu. She believed I could make it. THANK YOU MAMA. Kwa namna ya pekee sana nawashukuru mabest friend wangu wa nyumbani; my lovely wife Saburi, my darling daughter Kareen, my bouncing boy Benaiah. Their love, prayers na uwepo wao tu umekua ukinipa morali wa kusongesha na kutokukata tamaa. Wananifanya nijue I have them to cherish and care. I LOVE YOU. Walimu wangu; Prof Swilla, my Supervisor. THANK YOU SO MUCH. My other friends and relatives. My work mates; Dr Lusekelo Mwamakombe, Mr Rodrick Ndomba, Mr Protas Ezekiel, Mr Goodness, Madam Pangani, Madam Loveluck na wengine. ni wengi sana.Nawashukuru sana. Mmmekua mstari wa mbele kunipa moyo na kunisapot kila wakati.

Hapa mambo ilianzia Nyumbani na baadaye ikaishia Mlimani City kwa Graduu yenyewe. Usiku kama kawaida, Mc nikaenda kuendesha shughuli zangu za harusi. 

 Mmmmh...Just with some members of a family.

Kidooogo...

SONGA


YametimiaVaa hivi


Hapo Je?


Aaah! Hili dude jamani hata halikai vizuri!


My friends; Saburi na Kareen.


Congratulations


With Totoz


Nikiwa na mdau wa siasa


With my bro James


With my Bro Laurean WajimilaNgoja mi nijichezee apa


Cheka basiii

Seep


Ze dadaz na mamdogo


James na Lau


Ze familia
Apo vipi


Kama treni ya Mwakyembe ee?


Taaabasaaam


My litle sis, Agnes


Mambo ya msingi apo
Unajua usingekua tough hii kazi isingekwisha! Kula kidogo apo
Ze wadogo


Haaa! Daad!
With ma Shem


With my dad and ma best friends


Hongera


Mama Charity

1 comment:

Anonymous said...

Oh my goodness! Awesome article dude! Thank you, However I am having troubles
with your RSS. I don't know the reason why I cannot join it. Is there anybody getting similar RSS problems? Anyone that knows the solution will you kindly respond? Thanx!!
Have a look at my site :: Hesperia Victorville