Monday, November 26, 2012

Oh My God! Mary John Mtei is Sent Off @ Mwika Social Hall..

Ilikua ni furaha ilioje kwa mtoto wa kichagga Mary John Mtei kuagwa na kutakiwa maisha mema katika safari yake aliyotaraji kuianza ya maisha matakatifu ya ndoa. Burudiko hilo lilitokea katika ukumbi safi na maarufu jijini Dar es salaam, Mwika Social Hall. Moja kati ya yale yaliyojiri ni ukweli wa kwamba jina la ukumbi lime-coincide na jina la kijiji cha asili cha bibi harusi Mtarajiwa, Mwika-Kinyamvuo huko Moshi vijijini.

Akiwa amependeza na vazi lake lenye mchanganyiko wa rangi ya shughuli yake, Bi Mary alipewa kampani ya ukweli na rafiki yake kipenzi wa siku nyingi, Bi Lenarda Asimwe Philbert, ambaye pia ni Public Relations Officer wa Atlas Schools hapa jijini Dar es Salaam. Pamoja nao, walikuwepo maids wanane waliokuwa wakitabasamu muda wote na wachangamfu. Hawa walikua beneti na Mtarajiwa katika kila kona. Hakika Walitokelezeiya ile mbaya.

Kitu ya kichagga pure! Mtarajiwa Mume, Bw Tumaini Macha nae atokea paleee Old Moshi. Baasi apo ndani ni tinywe, tile, tilewe, tisepe! hahahhaaaa. Kwa Uchaaache, SONGA NASI.

Colours: Gold, Red na Green flani ivi!

Bi Mary na Best Yake, Be Lenarda

Mjikeki

Burudani kabla ya mambo yenyeweThe Decor's

Wageni

Table Set Up

Video Crew

Madam Lucia Combe na mdau apo

Karibuni wazazi!

Familia ya Kina Mtei


Wakwe

Ze IringiWakaja Warembo
Ladies and Gentlemen; The Bride!


Mary John Mtei


Ni Burudani tu katika kumkaribisha Mtarajiwa


Wametokelezeiya!Sala


Heshima kwa Mungu

Mwenyekiti akikaribisha wageni

Mwenye gari nambaaaa......

Ze champaigne


Cheeeeers!


Wazazi na wakwe kwa Cheers

Hongera Best

Na Tinywe


Keki tym

Keki inawaka moto!


Kata keeeki tuuule!

Ngoja nikusaidie apo

Onja kwanza ; hi si yako!

Na wewe pata yako best

Thank you kwa kunilea

Twende unisindikixe kwa wakwe

Mshenga (kulia) apo na wakwe wakiisubiri keki

Ngoja niwape mwenyewe Best

Sijui nimpe naaani?

Thank you

Mmmmh! Naona Aibu mie!

Asante wana Kamati

Muziki sasa


Poleeee

Ngoja niwatambulishe wa kwetuwow

Apo Je?


Mnyama

mmmh...


Tamu hii kitu!

Baba na akaikataAsante mkwe


Best na wewe uonje japo sunna

Hivi Tuamaini yupo wapi?

Wadau


Best, huyu Tumaini kaingia mitini nini?

Heeh...Kumbe wewe ndo ulimficha Tumaini wangu eee

Swty...wajua mapenzi ni mwanga

Full candles!

inuka wakuone mpenzi wangu weee....

Uliye jaa moyoni wangu mpenzi eee

wewe ndie chaguo la moyo wangu ee

Wewe ndie, unaefaa kuwa mume wangu eee

Nataka watu wote wajuee, kuwa umewahiwa

Nataka watu wote wajuee, kwamba soon utanioa...

Mmmmwaaah!

I love you!

I love you too..

Heeh...best, zawadi zimeishaa!

Wametokelezeiyaaa

Tuamini la Moyo wangu!

Tukale

A lil Sip!

Raha eee?

Watanashati

Nasaha


Mdau!

Madam Lusia Combe na Best Friend (mmewe) wake

Ze Kingwenduz!

mshenga wangu naomba nikutuumee

Blanketi


Wow

ze dadaz

Wakapigwa khangaz

Chekshia apo

Akashuka ili akabidhiwe

Huyu ndiye haswaaaa


Kaka, godbles Mtei akimkabidhi dada yake kwa Mshenga

Mama mkwe akamvika khanga

JVB wakapiga vitu adimu


Hawa watoto ni noumaaa

lovely!

Zawadi tymze dadaz na Chop my money!


Hongera ee


Dj Gaucho!


Hongera mama

Ze Kamati

Asante wadau


Asanteni wanakamati

wakwe wakaagaThank So Much!

Bye!

Na Huu ndo Ulikua Mpango Mzima

No comments: