Monday, December 17, 2012

Look here! Lilian Mwabulambo is sent off at Dankeen House, Mikocheni...

" ..Basi ile laptop yake ilikua na nyimbo nyingi sana, basi kila akipata nyimbo mpya..ananitafuta, naenda kusikiliza, huo ndo ulikua mwanzo wa urafiki wetu pale chuoni Nairobi, uchumba na sasa twaelekea kwenye ndoa..."

Hayo yalikua maelezo ya Bi arusi Mtarajiwa, Bi Lilian Daud Mwabulambo katika kipande kizuuri cha documentary ya mtiririko wa maisha yake kabla ya send off yake. Documentary hiyo ilitengenezwa kwa ustadi mkubwa na kampuni ya kinyumbaninyumbani, iliyosimamiwa na kaka wa Mtarajiwa, Bw Wasiwasi Mwabulambo a.k.a Mzee wa Jahazi la Clouds Fm. Kazi hiyo ilishuhudiwa katika projector kubwa katika ukumbi wa Dunkeen House pale Mikocheni, jijini Dar es Salaam.

Uzuri wa sherehe hiyo ni mgumu kuueleza kwa maneno hapa. Ila wanyakyusa wale walijipanga haswaaaa. Wakwe, wenye asili ya Marangu kule Kilimajaro walifurahi pamoja nao. Nyuma ya mashine akiwapo kijana Gaucho(DJ) na kati kati akiwapo mdau a.k.a Ze Blogger. Hakuna kulala...ni bandikaaaa...banduaaaaa....mshikemshike wa haja banaaaa.

Songa nasi hapa kwa picha..

Colours: baby yellow, purple na silver


Wasiwasi Mwabulambo akiwa mtamboni...so talented broda


Cheki rangi ya send off apo banaaa
Ze Kamati


Wow


Karibuni saaaana
Na Tuombeeeee
Watanashati walikuwapo


Pendeza eeeee


Dj Gaucho!


Chekshia mtaalam wa kamera akichukua engoooWasiwasi Mwabulambo in action!
No comments: