Shuhudia, japo kidoooogo vionjo na mapozi ya photoshooting ya send off ya bi Donatha Mbunda ilofanyika hapo Flamingo Hall, Sunset-Mbezi Beach...Dar es Salaam...Tiririkaa.
![]() | ||||||||||
Bi Donatha Mbunda apoo |
![]() |
Send off Gown eee.. |
![]() |
Kwa raha zaaaangu... |
![]() |
Nilikupenda, nakupendaaa, na nitazidi kukupenda, popote utapokwenda, mie nitakupendaa!!! |
![]() |
Donatha na mtarajiwa wake, Fredrick Ringo |
HARUSI NI TAREHE 7 JULAI, 2012.....CHEZEIYAA
No comments:
Post a Comment