Thursday, July 5, 2012

Short Woman? Tokelezea hivi kwa Wedding...


http://0.tqn.com/d/petite/1/0/W/2/-/-/hourglass.jpg
Rangi moja

Some people feel so down when it comes kupata kivazi cha harusi. Kisaaa? eti they are short!! Acha izo banaaa. There is no limit katika ulimwengu wa fashion. Do not be kudanganyika by the beauty competitions wanaotaka tuamini that only tall women wanaweza kutokelezea kwa wedding!! Here are some fabulous tips kwa marafiki zangu; Short girls/ Women;

Piga Kivazi cha rangi moja (Single colour)

Hii wataalamu wanaita monochrome...yaani, watoka na single colour...hakuna maua maua wala too many different colours..this gives the illusion of height.Toka na Mchuchumio (Hi Heels)

Ncha yake sasaaa

Hakuna ubishi kwamba hii mambo is now back to the fashion eeh...yaani asikwambie mtu..the good part of it is that you have a choice...kuna ile nyembamba ila if you are not comfortable with that , you try the wedge shoe. this will doubtlessly give you etra height.


Na apo jee


Say Hi to Hi Heels


Tupia High Waisted Style!

Hapa wacheza na proportiona s asee. Yaani the higher the waist, the longer the legs. Hivo, nguo yenye kiuno cha juu juu basi yaleta muonekano High mtokelezeo.

High waisted apo

Mini Dresses jee??

Una Mguu weweee?? Mini dresses are great if you have miguu ya biaa. Hapo ukichanganya na the right choice of shoes!! inaonesha appearance ya long, lean legs. However, skirts and dresses that finish just above the knee kwa short girls/women ndo bombaaa.
 

Maxis?? Don't ignore...

Kuna shirter galz wanaogopa hii mambo. Hii kwa marafiki zangu hapa, go for sleek column-style skirts and dresses.

Mambo Ya maxi ayooo


Tupia Belt Nyembamba (thinner belts)

Mambo ya Belt apa yasipowekwa vizuri, they become  a bit dangerous!! Hatari yake ni paleyour body inakua-cut in half na hapo inazuia ile muonekano ambao ni elongated.

Wear darker colours

Wakumbuka ile msemo that goes 'Black is slimming'? Ukivaa the dark colours zaleta muonekano ambao ni elongated. Go for dark colours.
red
Dark red
green
Go GreenUsipende oversized handbags.

Heeeh do we have to ignore accessories?? noooh...hii ina impact to your looks. Opt for smaller handbags. Oversized handbags zakufanya uonekane shorter than you are.
Handbags izoooKama mistari-stari, basi Vertical lines is the best...

Kama horizontal stripes make you look wider!! The vertical stripes basi zinakua na opposite effects, they make you look tallear.....

Miranda Striped Dress By Queen Of Heartz
Vertical Stripes
PENDEZA BANAAA...TOKELEZEIYA!!No comments: