Ilikua chereko na hoi hoi, pale Binti mrembo wa kupendeza, Sarah Mnyanga...sherehe yenye wageni wachache ila yenye burudaaani ya kutosha...tiririkaaaaa...
|
Bi Saraha na Best yake Bi Tumaini |
|
Ze Cake |
|
High Table |
|
Wazazi wakiingia |
|
Mwenyekiti akitoa maneno ya ukaribisho |
|
Bi arusi akifungua champaigne na matron wake Mrs Tumaini Richard |
|
Dj Gaucho akiwajibika....hii mutoto hafai aseee... |
|
McNdimbo akijiandaa kusoma meseji za kumtakia heri bi harusi mtarajiwa |
|
Shangazi na mshenga |
|
Nilipe nisepeeee |
|
Chukua chako auntie |
|
Kabidhi mwali eee |
|
shukurani na karibuni kwa harudsi kule Dodoma |
|
Gaucho weee |
No comments:
Post a Comment