Friday, July 27, 2012

SEND OFF YA BI NAOMI MUSHI...DELUXE, SINZA DSM....

Hapa leo nakutirisha kidoooogo na uhondo wa Send off ya Naomi pale Deluxe Sinza Dar es salaaam; Hapa ilikua ni wakati wa Keki...Tujaaaage loh loooh!......

Kivazi Cha Naomi sasaa..

Mtarajiwa alichezaaaje!!

Usisahaau kutembea kwa pozi eeeeh

Gauni lake sasa...UMENDEZAAAAAJE!!

McChitanda (hayupo pichani) akimpa maelekezo Mtarajiwa huyo

Kataaaaaaaaaa!!! Vigelegeeeele!

Asante kwa kunilea

IT Department ya D'salaam University College of Education, staff wenzie na mtarajiwa...Ndekia Muzee ya Man U (kushoto) na Seif a.k.a Baba Alma wakijiself service meza za nyumaaa

....MORE TO COME SOOON.....

No comments: