Harusi ya kimataifa iliyounganisha Mataifa mawili; Norway na Tanzania....Mr Svein, a Norwegian groom got married to Ms Joyce, a Tanzanian bride...McNdimbo was behind the mic in this Brown & Gold coloured wedding ceremony...tiririka nasi...
|
Mrs Joyce Svein akikata a wedding cake huku mumewe, Mr Svein akishuhudia |
|
Keki |
|
McNdimbo akibonga ung'eng'e wa hataaari!! |
|
Mama Tom akitoa utambulisho... |
|
Wazazi wa Bw harusi, kutoka Norway |
|
Wakiwa na wapambe wao... |
|
Waalikwa walikua wachache tu... |
|
Dj Small akifanya mambo makubwa... |
|
Harusi ya muzungu na taarabu imo aseee.. |
|
Kwaito jeee.... |
|
The Oldies.... |
|
Baby Linda; mutoto ya maharusi...biashara asubuhi weweee.. |
|
Ongeza champaigne my love.... |
|
'..ladies and gentleme...' |
|
Mtaalam wa sarakasi akitoa burudani... |
|
Linda akiwa amebebwa na mjomba ake.. |
No comments:
Post a Comment