Maisha ni furaha, ndoa ni kuvumiliana?? nani kasema? Ndoa ni kupendana banaa...anza maisha na rafiki yako kipenzi haswaaaa; Cheki Zephania Kiula hapa akiwa na rafiki yake kipenzi, mkewe Bi Fedah....tiririka japo kiduuuuchu..
![]() |
Zephania na Kipenzi chake Fedah!! Chezeiyaaa |
![]() |
Ametokelezeiyaaa!! |
![]() |
Kama Tausi eeeh!! |
![]() |
Tabasam lako tuuu!! |
![]() |
Wakiwa na mashosti....!! Wapi Vivian!! |
No comments:
Post a Comment