Wednesday, September 5, 2012

LADIES & GENTLEMEN...YUSUF NGALULA & RAHEL GATARE @ KUALA LUMPA!!

Nikiwa nimechokaa...ndo nimeingia kutoka Moshi, nikapitiliza Sinza hapo Kuala Lumpa Hall. Ndani ya ukumbi ulopambwa vizuuuri na air condition ikiwa ya kutosha hadi wageni wakaanza kulalamika. Mie nikawaambia, leo nipo na Dj Gaucho ...ac hii mtaona haitoshi!! Bwana harusi akijua Mc leo haji, akashangaa kijana nimeibuka hapo tayari kuleta burudani ya kutosha. 
Mara baada ya kufunga ndoa yao hapo jijini Dar es Salaam, wakasogea kwa ukumbi waliouchagua wao na kujimwaga kwa furaha isiyo na kifani. Wasukuma hao wakiwa na Mbunge Mstaafu, Mama Wejja wakaserebuka na zile za 'kubyaaaaala mayo kubyalaaa cha widza!' weeee. Wale wakwe nao, wakurya, kuona hivyo wakaja na mtikisiko wa vichwa (hapo lazima uwe na shingo nzuri) na kitu cha Litungu! basi buuuurudan! 
Kila kona apo ikawa ni furaha tu kwani Bw Yusuf Mussa Ngalula kapata kitu chema, mtoto mweupe Bi Rahel Gatare....Rasmi as Mr & Mrs Yusuf Mussa Ngalula

Colour: Silver & Purple
...tiririka nasi apo

Bw Yusuf na Bi Rachel
Wakiwa na wasimamizi wao: Bw Goodluck & Mrs Angel Andrew

Ze Totoz

Pametokaaaje?


Mjikeeki...


Maids na Groom's men wakiingia kwa poooz

Bw Goodluck na Bi Angel; Wasimamiz wakijiachiiia

Mpaaaangooo wa Mungu ni lazima utimieee....


The Child of God; Edward akipata maelekeza kutoka kwa mdau ili afungue sherehe kwa sala...


Kitu cha Champaigne...

Ladies and Gentlemen....


Cheeeereeers!


Nakunyweshaaaje?

Kama ivi eeeh?


Kata Keeeki Tuuuleeee....

Kinjiwa njiwa eeee...nakupenda weeeee!!
Nasaha apooo....
Na Wazazi na ndugu wa Bwana Harusi

N wakwe...

Na wanakamati...

Madam Chairperson....
Walezi eeeh...

Byeeeeee.....

No comments: