Thursday, September 6, 2012

Exclusive Wedding!! Mr & Mrs AJ Ubao @ Maryland USA!!

Leo nakupa uhondo wa exclusive wedding ya Mtanashati AJ Ubao na mkewe kipenzi Mrs AJ Ubao. Utamu huu ulisonga hivi karibuni hukooo mamtoni. The good thing about this wedding ni kwamba kulikua na vionjo vya nyumbani ingawa ilifanyika Ughaibuni uko. The beautiful family of Mr & Mrs Ubao wakajumuika na ndugu, jamaa na marafiki na kuibuka na uhondo wa haja apo. AJ ubao akapata wasaa wa kumuimbia Wa Ubani, Mahboubah wake!! So sweet...

Color; White & Purple

Tiririka nasi na upate utamu hapa...Mr & Mrs AJ Ubao wakiwa na tabasaaam

Maids

Wacha wee

Na mabest

Lovely!
Hapo Jee?


Wadau..

Decor's Taste apooo

Mabest
What a Family!

What a couple!

Na sisi Tumooo...

Tumetokelezeiyaaa...

Hulah laaaaah!!
Cute totoz...

Tuingie kwa poooz...

Mc Tuma!

wow!


Ngoja sasa nimuimbie my Ubani!
Ntakupeeeendaaa weweee tuuuu!!

Tupate kumbukumbu apa!!

Oneni sasaaa...

Pouz kwa pooooz!!

I love you!

OOoooh baby!
Beside Ze Limoz!

What a poz

Tumetokaaaaje?Kama Twinz eeeee!!

Mahboubah!!
Apo Jee?

Oh Son!

Free style!

Dad umetokelezeiyaaah!!

Rakha jipe mwenyeeewe Yakheee!

Decor pouz..


We will never apart!!

1 comment:

Anonymous said...

luvly