Tuesday, October 2, 2012

STOP AND LOOK!! OMARY NKULLO WEDS BI. AJUZA !!

Kama ni uhondo basi ndo ulikua huu banaaa. Mambo ya haja kwa kweli yakaanza paleeee Kibaha; nyumbani kwa familia ya Mzee Nkullo. Hii ilikua ni mara tu baada yaMtanashati Omari Nkullo kufunga pingu za maisha na Mahbobah wake, best yake, neighbour wake...mashaallaaaah Bi Ajuza! Hapo Utamu ukaendeshwa vema na anko Chitanda (The Mc). Bila ajizi, mapumziko ya walau masaa 40 yakafuata na hitimisho la shughuli nzima ikawa paleeee, pembezoni mwa bahari ya Hindi. Katika ukumbi maarufu The Grande Hall, ndani ya Hotel ya Ufukweni, Piccolo. Hapo nyuma ya machine ya muziki akiwa Dj Gaucho (The Entertainer) na katikati akiwapo Mshereheshaji mwenye hulka ya burudani ya kutosha (a.k.a Mshikemshike wenyewe), McNdimbo. Loh Salaaaleh! hapo ilikua ni bandiika-bandua...Yaani, the theme tu yenyewe ikawa 'DINNER & DANCE'...Chezeiyaaa...Songa hapa mdogo..mdgo uone , japo kwa uchache, mambo yalivojiri...

Color: Light Blue & Pink

Bw Omari Nkullo na Mkewe Bi Ajuza na wapambe wao Bw George na Bi Bernadetha
Ukumbi ukiwa umependeeza

Mjikeeeki

Table Set up

Wakaribishwa kwa mbwembwe

Dada Mwasiti akipata dondoo za kushusha Dua

Wamependeeeza
Mdau akiwa na taste ya harusi apooo


Na Tufungue Champagne

Dusheleleee

Na Kwa Pete hiii....
Mumeonaaaa

Ngoja nami nkuvalishe Swtytooo

Hapa ndo hapaaaa


Keki Time

Gawa...gawaaa

Mtoto Mashallaaaah

Lisha nikulisheee

Na tule mjikeeki

Sogea kariibu

Haaapo

Sisi ndo sisiiiii...

   
Ni weewee...unaenifanya nijiskie nipo juu kwenye hii duniaaa..   

M<shikemshike apoo


Mama Nkullo wa Bwana harusi
Utambulisho

Mzee Nkullo orijinaal

Ze dadaz

Mami's poz

Maharusi wakipita hapa na pale kuwapa hi wageni

Ze wadau

Dj Gaucho....Chezeiyaaa


Ze Kwaito


Ze CRDB representatives

Amani Hussein Nkullo (Wa pili Kulia) akiwa na mabest zake

Mama Nkullo akimpokea shangazi atoe nasaha

Ze wadauz

Anti wa ukweli akiwawakilisha wazazi kwa nasaha

Ze CRDB on da way kwa zawadi

Maids wa zawadi

Wafanyakazi Wenzetu eee...
No comments: