Friday, September 28, 2012

TOUCH OF THE HEART!! HENRY SELEMANI TO RHODA MWALIMU @ MATONGEE, ARUSHA

Wahenga walisema ...UKITAKA KUJUA UHONDO WA NGOMA, INGIA UCHEZE...Maneno haya yalitua kichwani kwa Mtanashati Henry Selemani na kuangalia kila kona ya nchi hii ili kumpata wa ubani wake atayecheza naye ngoma ya maisha ya ndoa. Macho na hisia zake zikatua kwa mrembo wa haja Bi Rhoda Patrick Mwalimu. Bila kupepesa macho, Henry akatamka maneno mazuuuuri kwake Rhoda...in sicknes and in health...for better, for worse...paleee Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania-Arusha Mjini. Kwa tabasaaam la ukweli Rhoda hakusita kusema kwa sauti yake taaam kabisaaaa.....Yes Ido! Vigelegele, nderemo na vifijo vikafuata hapoooo...Hulahlalaaaah. Mambo yakasogea na kuishia katika ukumbi maarufu pale Arusha- Matongee-. Show nzima ikisimamiwa na McChzenga. Kwa roho saaaafi, songa nasi apo kwa muhtaaasari tuu wa mambo ilivokua.
 
Colour; Red & Gold
 
Bw Henry Selemani akilishana Keki na Mkewe Bi Rhoda Mwalimu hapo Matongee, Arusha- Tanzania


Wdau wakiwashudia maharusi wakilishana keki


Mmmmmmwaaaaah! I love you!


Wadau katika poz!!
 
Henry, Mkewe Rhoda na mabest friends


No comments: