Monday, November 19, 2012

JOVIAL MOMENT! BRIAN LYIMO WEDS NEEMA MLAY @ URAFIKI HALL, DSM

Maandalizi yanakua ya muda mreeefu kwa kuwa watu wanatarajia mambo makubwa na mazuri kabisa katika shughuli ya sherehe. Kamati ya maandalizi, maandalizi binafsi na yale ya kanisani ni sehemu tu na majukumu kedekede ya harusi ya watu wanaojali furaha.

Brian Francis Lyimo, mtanashati wa haja, akatamani na mwisho kuhitimisha matarajio yake ya kuishi na mrembo wa ukweli, Bi Neema Andrew Mlay. Ukamilifu wa maandiko ya Kitabu cha Mwanzo 2:24 "..Mtu Mume atamuacha baba yake na mama yake, naye ataambatana na mkewe.." ukahitimishwa pale katika kanisa maarufu la KKKT la Azania Front. Kijana Brian na mkewe Neema wakatamka, pasipo kusita, maneno mataaamu "...YES I DO.." na Punde Tu! wakawa wamebandikwa mihuri ya milele katika mioyo yao hadi kifo kitakapowatenganisha.

Utamu huo haukuishia hapo, wachaga hao wa Mwika na wale wakwe kutoka Kirua-Vunjo, Kilimanjaro wakasongesha mpaka ndani ya ukumbi wa Urafiki jijini Dar es Salaam. Ukumbi uliofanyiwa rennovation 'ya kufa mtu' ukiwa na viyoyozi na yangi ya kuvutia. Hapo Mtaalamu wa burudani, Mdau a.k.a The Blogger akawasha moto. Wasiopenda burudani wakakasirika ile mbayaaaaa.

Kwa picha za matukio, japo kwa uchache....SONGA NASI

Colours; Tangerine na Black


Maharusi
The Decor's

Wakwe wakiingia

Velkam

Ze Totoz

Keki Tym

Na tuikate kipenzi

lisha nikulishe, ndio ishara ya upendo


Kwa wazazi

Thank you my in laws

asante wakwe

Asante wanakamati na Mwenyekiti, Bw. Harold Lyimo

Sisi ndo sisi!

Mshikemshike

Niwatambulishe wa kiumeni now

Wazazi; Mzee Lyimo na Mkewe

Mch Lyimo na wadau

Familia ya kina Mlay, wakwe

Watanashati

Malkia

Niwatambulishe nao

Mama Mzaa wa Bi Harusi (Mwenye kilemba) na wenzake

Mch Lyimo akiwawakilisha wazazi kutoa nasaha


Jerusalem Vibrant Brothers walikuwapo

Ndafuuleee

Fasta baba

Karibu mwanangu katika maisha ya ndoa

Asante baba

Karibu mkwe katika familia ya kina Lyimo

Mwaaaa....

Asante mama yangu mpenzi...nakupenda

Ni weweeeee unaenifanya naimba!

The Djz...


Ze Kwaitoz

Mama mkubwa akinena nae nasaha kidogo

Mdogo wa Bibi harusi akitoa zawadi kwa dada yake kwa kuimba

Mzee Lyimo na mkewe wakitoa zawadi kwa wanao.

Baba wa Ubatizo na mkewe

Hapa na mama wa Ubatizo akaubgana nao

Biblia ndio kila kitu!

Zawadi ya wakwe

The staff


Staff wenzake na Bwana Harusi; FIFA CREW

Mama Lyimo

Hapo Jeee

Ze Kamati

Kwa niaba ya Mwenyekiti, Bwana Harold Lyimo, Makamu wake akiwashukuru wageni

Mzee Lyimo akiwashukuru Wanakamati

Maharusi wakiwashukuru wazaziWaliwapa picha mbalimbali za enzi za ujana wa wazazi hao; picha ya harusi ya wazazi hao na picha za wakati wapo makazini kwao.

That was all Folks!

No comments: