Tuesday, December 4, 2012

Godfrey Surera weds Pendo @ Msasani Klab, Dar es Salaam

Ilikua ni raha mustarehe na furaha kutoka kwa ndugu na marafiki. Harusi ya kupendeza pale ambapo Mtanashati, Bw Godfrey Surera alipofunga pingu za maisha na bi Pendo. Walielekea kwa ukumbi wa Msasani Club na kujumuika na ndugu, jamaa na marafiki hapo. Wafanyakazi wenzake na Bwana Harusi kutoka hapo NIDA (vitambulisho vya Taifa) wakiipamba shughuli nzima vilivyo! Songa nasi hapa kwa picha.

Rangi; Tangerine a.k.a Karoti na BlakNo comments: