Tuesday, December 4, 2012

Charles Ndunguru weds Tuzo Mapunda @ Landmark Hotels, Dar es Salaam

Wakiwa na furaha ya kukata na shoka, Bw Chaaz Ndunguru na mkewe Bi Tuzo, waliungana na ndugu, jamaa na marafiki pale katika ukumbi wa Landmark. Hapo ilikua ni wamatengo kwa kwenda mbele. Tuserebukeeeee aee aeee....ninapotaka mimi ni apo tuuuu. Yaani! Kama kawaida wakapata kitu roho inapendaaaaa. Hii ilikua ni baada ya wawili hao kufunga pingu za maisha pale katika kanisa la RC Makuburi. Songa nasi kwa picha hapa.

Rangi; red, gold, silver na purple.No comments: