Monday, May 13, 2013

Deluxe: Blanka Asenga is Sent off...what a day!!

Kiyoyozi kikisomeka nyuzi joto 21... Ukumbi ulopambwa na kupambika....wageni wenye tabasamu na ustawi wa utanashati wa haja...wow! Tukasubiri kwa ham na hapooo akajitokeza mrembo wa kupendeza, msomi mwenye tabasamu asilia, inquisitive eyes na projection ya confidence ya hatari! BLANKA ASENGA..akisindikizwa na shost wake wa tangu enzi za primary school, akaingia kwa raha zake na kupokelewa na vifijo, nderemo na hoihoi kutoka kwa wachgga wenzake na wakwe kutoka Biharamulo wenye mchanganyiko wa kisubi na kinyarwanda. That was a day!

Wafanyakazi wenzake wakiongozwa na Dr Amina, wakampa kampani ya kutoka kutoka kule statistics kwa UDSM. Burudani ilokua ndo jadi yetu asilia katika kuukimbiza ule motto wetu wa nusu ya mwaka huu " YOUR SATISFACTION IS OUR ACHIEVEMENT" ukaongozwa nami mdau wenu kwa kushirikiana kwa ukaribu kabisa na Dj wangu makini na ajuaye kuisoma hagdira inataka nini, DJ Smol! Hapo no no Gospoz, makabiala, za zamani, kwaito, bongo flava, sebeneeez, reggae (maalum kwa wachagga) na taaarab kidooogo!

Songa nasi kwa picha hapa

Colours: Brown na Orange


 


No comments: