Tuesday, June 18, 2013

SASA TUMEFIKA LAKI....100,000 VIEWERS!! THANKS WADAU

"Whether You Think You Can or You Think You Can't, You're Right" Henry Ford, Industrialist.

Maneno hayo hunitia nguvu kila nikiyakumbuka. The moment nilipopata wazo la kuanzisha blog, sikuwahi kufikiri ipo siku nitakua na watazamaji wa kuwa na hamu ya kutembelea hii blog kwa kiwango hiki. Lakini ni jambo la kumshukuru Mungu kwamba niliamua kuchukua kipande cha mwanzo cha mawazo ya Henry Ford, the industrialist na nikafikiri "I CAN" na leo hii wadau tumesonga mpaka kwenye 100,000!!Haikua jambo rahisi. Nakumbuka siku tatu za mwanzo tukawa na viewers wanne!! ooh maamah.. sasa tupo na wastani wa kutembelewa na watazamaji 625 kwa siku. Hii ikiwa ni ongezeko la watazamaji 200 kwa siku kutoka 400 na kidogo ilipokuwa mwezi uliopita.


 
Sasa wadau wa sherehe mna kila sababu ya kutangaza kupitia kwetu. Matarajio ni kuwa na wastani wa viewers 850 kwa SIKU ifikapo mwezi wa Julai, 31 mwaka huu. Njoeni Caterers, decors, videographers, music, maduka ya vipodozi na mavazi, saloons na wengine pia. Bei zetu ni so friendly.


YOUR SATISFACTION IS OUR ACHIEVEMENT 

No comments: