Friday, June 21, 2013

Victor na Winnie...wana wa Mallya

Hebu tazama haya majina: Victor na Win.... Have you found anything interesting about them? Any resemblance? Any relationship?
Ngoja nikuambie sasa. Neno Victor maana yake ni Mshindi na neno Win ni Kushinda. Kwa hiyo Victor na Win ni mshindi na kushinda...hahahahahahaaa! Mungu ni mwema sana.

Wakasogea mbele ya Altare paleee Roman Catholic Chapel ya UDSM, wakishangiliwa kwa nderemo na vifijo; Bw Victor John Mallya na Bi Win Peter wakatamka YES I DO na kuudhihirishia Ulimwengu kwamba wao ni Bwana na Bi John Mallya. Furaha za pekee kutoka kwa wachagga wale zikaonekana vyema katika nyuso zao.

Shughuli ikahamia ndani ya ukumbi safi wa Hotel ya Lunch Time...ghorofani!! Hapo ni burudani kwa kwenda mbele...yaani hapana chezea hiii...we really mean it when we say YOUR SATISFACTION IS OUR PASSION

Songa na si kwa picha hapa.

Colour: Red na YellowNo comments: