Thursday, November 13, 2014

Patrick Ndimbo na Huki Erica Kinara....Acha Kabisaaa

Wangoni na wapare pale St Alban, Posta Dar es Salaam.... Mtanashati Patrick Ndimbo na best yake Bi Huki Erica Kinara wakafunga milango na madirisha ya kuishi pamoja milele. Nikakamata mic na mashambulizi ya burudani yakaongozwa na DjNdende, akawapotezaaaaa na wakapoteiyaaaa pale Mirado
 
Songa nasi kwa picha (vionjo vya mwaaaaanzo) from Laser Looks Studios-0713550494
 
Bw Patrick Ndimbo na mkewe Erica wakiwa na wasimamizi wao, Geoffrey Sima na mkewe pia
 
 
 
 

 
 

 

No comments: