Wednesday, November 19, 2014

Michael Baruti na Bi Jackline Singh Blisful Day!

"..nimekuchagua weweeee...nikupendeee..mamaa sitaki mwingineee...I wish usiniacheee...sura yako muzuri maamaaa...muzuri maamaaa....muzuri mamaaa...tabasamu lako mauaaaa...."
 
Hayo ni maneno matamu ya mwanamuziki maarufu wa Kenya, Sauti Sol ambayo yalikua yakimfanya Michael Baruti aimbe kwa hisia na furaha, kwa ajili ya Jackline mkewe, kila pale DjNdendekutoka Respect Djs alipokua akiirusha hewani hiyo track "Sura Yako"
 
Kwa kweli ilikua siku ya pekeee...
 
Fuatana nasi kwa picha kidogo kutoka kwa crew inayokamata soko la picha kwa kasi, MEKU PRO Studios- 0682672222


 

1 comment:

Anonymous said...

That was something.. Maharusi wamecheza kama wako club..hongera mc kwa kusababusha